PRESS RELEASE - REPAYMENT - SIKU 60 - DLRR - FINAL.doc

Embed Size (px)

Citation preview

  • 8/19/2019 PRESS RELEASE - REPAYMENT - SIKU 60 - DLRR - FINAL.doc

    1/1

    BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

    WAAJIRI NA WADAIWA MIKOPO ELIMU YA JUU WAPEWA SIKU 60

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inatoa siku 60 kuanzia taree !" Ma#i$ %0!6 kwawanufaika wote wa mikopo wanaodaiwa na HESLB ku&itokeza na kuanza kulipa madeni yao ka'la yaku#ukuliwa atua za kiseria

    ida$ katika muda uu wa siku 60 waa&iri pia wanatakiwa kuakikisa kuwa wanatekeleza wa&i'u wao wakiseria wa kuwasilisa taarifa za waa&iriwa wao walioitimu katika *yuo *ya elimu ya &uu ndani na n&e yan#i +aarifa zinazopaswa kuwasiliswa zi&umuise ma&ina kamili ya waa&iriwa$ *yuo na mwaka walioitimu

    ,takum'ukwa kuwa Seria iliyoanzisa HESLB (Sura !-.) (kama ili*yoreke'iswa) inatoa wa&i'u kwamnufaika wa mikopo ya elimu ya &uu na pia wa&i'u kwa mwa&iri

    Wajibu wa MwajiiHi*yo 'asi$ taarifa ii inalen/a kuwakum'usa waa&iri am'ao 'ado awatimizi wa&i'u wao kiseria (kifun/u#a %0) wa kuwasilisa ma&ina ya waa&iriwa wao wote am'ao ni waitimu wa *yuo *ikuu kwa HESLB ndani

    ya siku %. tan/u waa&iriwe da'u ya kutotekeleza wa&i'u uu kwa mwa&iri ni faini ya silin/i milioni sa'a(+ss milioni -) au kifun/o au *yote kwa pamo&a

    wa mu&i'u wa seria iyo$ 'aada ya HESLB kupokea oroda kutoka kwa mwa&iri$ itafanya u#am'uzi iliku'aini wanufaika wa mikopo ya elimu ya &uu na kumwelekeza mwa&iri kuin/iza makato ya mare&esokwenye msaara wa mnufaika na kuwasilisa makato ayo kwa HESLB da'u ya kutowasilisa makatokwa HESLB ni faini ya asilimia !0 ya makato yote am'ayo aya&awasiliswa na faini ii inapaswa kulipwa namwa&iri

    Wajibu wa !"u#ai$a wa !$%&% "a wa'a'i( wa)*'i( wa+,a!i"iida$ pamo&a na wa&i'u wa mwa&iri kama uli*yofafanuliwa apo &uu$ wanufaika wote wa mikopo ya elimuya &uu tan/u mwaka !11"$ wana wa&i'u wa kiseria (ifun/u #a !1 #a seria ya HESLB)$ pamo&a namam'o men/ine$ kuitaarifu HESLB kwa maandisi maali alipo na kuandaa utarati'u wa kulipa deni lake la

    mkopo wa elimu ya &uu

    ,wapo mnufaika wa mkopo atasindwa kutoa taarifa izo$ ada'u yake ni kusitakiwa maakamani

    ida$ HESLB inapenda kuwakum'usa wazazi$ walezi na wadamini wa wanafunzi walionufaika na mikopokuwa wana wa&i'u wa kiseria (#ini ya kifun/u #a %% #a seria ya HESLB) wa kuakikisa kuwa taarifamuimu za mnufaika waliyemdamini zinai2kia HESLB

    wa mu&i'u wa kifun/u i#o$ taarifa izo ni pamo&a na maali alipo mnufaika$ ma&ina aliyotumia wakatiakipata mkopo$ mwa&iri wake na kuakikisa mnufaika aliyemdamini anare&esa mkopo wake kwa HESLB Iwa&% !wajii( !"u#ai$a au !+au -*-%.* a"a /wa)i( awa/i)ia"* "a HESLB $wa /i!u 'i#ua.a'%0123 414357 0164 328 62 au 099 9119349:44;

    Len/o la HESLB ni kuaakisa madeni yote yanakusanywa ili kuon/eza uwezo wa kukopesa watanzaniawen/i zaidi ,li kutekeleza ili$ wanufaika$ waa&iri na wadau wen/ine wote wanapaswa kutimiza wa&i'u waowa kiseria ili HESLB itekeleze ma&ukumu yake kama ili*yokusudiwa wakati ilipoanziswa mwaka %00"

    HESLB ilianziswa kwa seria ya Bun/e na 1 ya mwaka %00" na kuanza kazi rasmi mwezi Julai$ %003 ili$pamo&a na ma&ukumu men/ine kutoa mikopo kwa wanafunzi waita&i waliodailiwa katika taasisi za elimuya &uu ida$ &ukumu &in/ine la Bodi ni kudai na kukusanya mikopo yote iliyotolewa kwa waitimu wataasisi za elimu ya &uu kuanzia mwaka !11" wakati Serikali ilipoanza kukopesa wanafunzi

    Mwi/,%

    Imetolewa na:Bw. Jerry Sabi,

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji – HESB!ar e" Salaam – Juma#ili, Ma$%i &', ()&*