9
3 of 6 5 of 5 kujenga ma-youth not for sale published by

Janjaruka 5

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Janjaruka is a money making comic written in sheng. It revolves around the lives of young people and gives life saving tips on how to be wealthy.

Citation preview

Page 1: Janjaruka 5

1

3 of 63 of 6

kujenga ma-youth

not for sale

published by

3 of 65 of 5

kujenga ma-youth

not for sale

published by

Page 2: Janjaruka 5

2 32 3

K

Page 3: Janjaruka 5

4 54 5

Page 4: Janjaruka 5

6 7

Je, we ni msee wa aina gani?

Kuna options mob ya ku-do things na ‘windfall’ unaw�a fanya vitu different na doo!

Scenario 1: Ku-spend doo yote saa hii au half saa hii na half baadaye: HAWA WANAWEZA KUWA GAMBLERS

Scenario 2: Doo kiasi saa hii au doo yote later: Hawa wanatafuta DELAYED GRATIFICATION ili watumiehiyo doo baadayeScenario 3: Small amounts za doo for a longer period of time: HAWA WANATAKA KU-PLAY SAFE NAWANATAKA KILA TIME WAWE WAKO NA DOO

1Fanya research yako kuhusu hiyo company,

�nd out kama iko pro�table ama iko likely kumakepro�ts in the near future.

2Determine how long una-plan ku-keep shares zako hapo –

ni long term investment amaunataka ku-speculate? (Long term ndio the best)

3Angalia value ya shares – unaweza a�ord? 4

Kuwa prepared for risk – unaweza poteza investment yako!

5Ku-make doo: kumbuka gava huchukua tax ya 15%

Invest kwa biashara mob – usiweke eggs zako zote ndani ya kikapu kimoja!

6

MUHIMU! hMyth kubwa kuhusu soko la hisa ni kwamba unaweza

make dooh automatically kwa stock market napia kwa single investments.

Ni lazima uwe patient na u-diversify investment yako!

illustrated guide ya Stock Market

6 7

Page 5: Janjaruka 5

9

Sly

8 9

Ni lazima uwe prepared kwa success.

Ukiwa na shillingi kumi, kula saba, weka tatu.

Sisi kawasee wa-young si hudhani tuna nguvu ya kesho

lakini things hu-happen. Postpone raha – raha haitaisha

8

Page 6: Janjaruka 5

10 11

Page 7: Janjaruka 5

12 13

Page 8: Janjaruka 5

Niaje Baraka! Niaje Sly! Mnadhani ni nini mlifanya right?

Mi nili -diversify investments yangu. Niko na rabbits zenye zilikufa, but bado nilikua na doo juu ya chicken farm yangu.

Nili-save-ia a rainy day!

Je, Kares, ulistahili kufanya?

Ninge tengen�a budget na savings plan! �is way, ningew�a ku-keep track ya doo yangu!

Ni important sana ku-set both short na long term goals – otherwise hautaw�a ku-achieve dreams zako juu hautajuakwenye unaelekea!

Kweli ni p�sible ku-spend wisely. Nita-open a smata account so that naw�a keep aside part of everything na-earn.Only sh 50 ku�ngua, na minimum dep�it ya 50 bob? Hata mimi naw�a manage hiyo!

Duma iki-hunt haiwezi achilia food yake i-lost ikiona. Kwa life yako unafaa kuwa kama leopard, ukitaka kubaki

focused na ku-succeed, usi-loose vision yako.

Siri ya Duma

Siri ya Simba

The mighty bu�alo is deliberate and steady, waiting all day for the hot sun to pass. It

steadily grows and protects its herd. Don’t be in a hurry to make quick money that you

might easily lose – wait for your investment

Lion ina manga �rst before zingine, hata wewe uki-work, itabidi ujilipe kiasi alafu balance unatu-

mia.

Siri ya Nyati

14 15

Page 9: Janjaruka 5

Siku hizi banks na stock exchange ziko friendly kwa ma-youths.

Unaweza ku-save ma 5 bobs zako u�kethao na uanze ku-invest.

Mimi nimejipanga kwa future yangu – nashughulikia saa hii so that

twenty years from now nitakuwa sawa.Sifanyi vitu tu fwaa. Niko na lengo.

Nataka ku�ka place. Na nyinyi wasee : Janjaruka !

Kusave dooh ni ku-make dooh!

16