Upload
well-told-story
View
304
Download
0
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Chapta 4 - Maria Kim
Citation preview
Mbona mna-fight?
mtoto mdosi amepata bursary fund na kila mtu
anajua hafai kupata
Ee!! alidanganya na yenyewe sio
poa!!
Ata bro yangu
haku-get…
Ebu nikaulize princie nini ili-happen
niaje?
Asante, lakini zii
nimesikia vile mnabonga,
na naeza help
by the way, naitwa jk
18
Excuse me madam, my
brother applied for a bursary and he
didn’t get itYet some rich kids
were given funds!
actually many parents complained.
something did not go well
But I don’t know why, and
there’s nothing I can do about it.
Pengine uulize chief
Yenyewe mimi hata sijui pesa
ziligawanywa vipi.
Hiyo siwezi jua. Hiyo ni mambo ya
council. Uliza councilor
Unaeza jua huku kulitumwa pesa ngapi?
19
yEnyewe pesa za bursary ni
kidogo
hata sijui zilitumwa ngapi au
kupewa nani
Lakini mrembo
kama wewe, ongea vizuri
nikulipie
Badala ya kunisaidia
unajaribu nini mbaba kaa
wewe?
ebu kuja niku-show
kitu
Yaani huna hata aibu!!
Maria Kim!!
Naeza kusaidia - tafadhali trust me kidogo
20
Huyo JK anataka kuniibia DAME!!
Kuna jamaa wanajiita
open governance
Hapana, wanachukua
information kuhusu matumizi ya
pesa za umma ya kila constituency
Wanapeana bursary?
Kisha, wanaiweka kwenye internet
Wana-show chapaa ngapi
zimepeanwa na ngapi zimetumika Unaeza
cheki kwa internet au u-SMS
Tucheki eneo letu
ala!! CDF yetu
imepatiwa 800 thao kwa bursary!
Please print that
page!
Waazi JK!!
Sasa ni hugs na kisses zenye sijawahi
pata!!!
mtu honest kwa cdf committee
alinipatia hii karatasi
inashow names za
watu wame-get bursary
21
Watsee, chekini hizi print –outs
Ati chapaa za constituency zilipeanwa mob kwa watu wadosi na wasio kwa constituency
yetu
Hii ni noma jamaa, lazima
tu-act!!
Kweli, tumepata info, sasa ni
tu-act!
Tusambaze hizi posters kila
stude kwa kila chuo ajue!
nitahakikisha kila sermon hii sunday ni juu ya bursary fund!!
hata kwa mosque pia!!
ambie chief!
ambie princie!
22
Watu wamejua doh za bursary zilitoka na wana-
show wengine zilivyotumiwa!
Ha! Hawanijui!
Godpapa! Kuna noma!!
Nitawanyamazisha!!!
Bursary inatakikana kusaidia wanafunzi wali-otoka kwa poor families kuwapatia chance ya kuendelea na masomo. Wanao-benefit na bursary ni orphans, watoto walio-affect-
iwa na HIV/AIDS, watoto walio na mahitaji ya kipekee kama walemavu au medical conditions, wasichana huwekwa kando, wanao-perform vipoa kimasomo na waliotoka kwa familia za maskini.
Commitee za ku-manage dooh za bursary zimeun-dwa kwa kila constituency. Members ni local MP, Education officer, KNUT representative, 3 religious leaders, 1 chairperson Board of Governance, 2 PTA chairpersons, 1 Councillor, DO, representative wa NGO au CBO ya shule, headteacher wa girl school na members wengine wawili wanaochaguliwa na committee.
Nita-apply vipi ili kupata bursary fund?1. Chukua bursary form kutoka kwa Divisions Educa-
tion Office. Ni bure. Lazima uwe unaishi kwa hiyo constituency
2. Kuwa na barua ya shule na ya assistant chief au
religious leader na upatie Division Education Officer atakayeipatia kwa Constituency Bursary Committee
3. Constituency Bursary Committee’s huchagua stu-dents watakao-benefit kupata bursary.
4. List ya wanaopata bursary hutumwa kwa DEO na cheques hu-sign-iwa in 1 week na kutumwa kwa area officer ili aweke signatures mbili
5. Cheques za stude wale wame-benefit kutoka kwa bursary hutumwa directly kwa headteacher
6. Notice boards za shule na constituency huwekwa list ya mastude wale wame-benefit kupata bursary
Nitapata dooh ngapi kutoka kwa bursary fund?a) Day school-Ksh. 5,000b) Boarding school- Ksh.10,000c) National school- Ksh.15,000d) Primary school-Ksh. 1,020
Constituencies hupata 1 million shillings za bursary halafu amount ingine inapewa kwa constituency kwa kulingana na level ya umaskini ya watoto kwa hiyo constituency. 5% ya constituency budget huwekwa kando for masomo ya wasichana.
Ili kupata more info juu bursary ya constituency yenu, visit, www.opengovernance.info
Secondary school bursary
23