Upload
well-told-story
View
225
Download
5
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Janjaruka is a money making comic written in sheng. It revolves around the lives of young people and gives life saving tips on how to be wealthy.
Citation preview
1
kujenga ma-youth
not for sale
published by
ku-save dooh niku-make dooh!
2 3
leo nitafika cyber mapema, nimalize job kabla giza...
bwaha-hahaha!
hahaha!
hihihi!
ala! ni nini?
ah, j.k., wewe umetupa mbao sana! cheki vile
ume-dress! msee! kuna kitu inaitwa fashion, bana!
ame-dress kama mzae ako fifty
years old!
tangu uanze ku-clean hii cyber
ma-customer wamekuwa wengi.
kazi mzuri unafanya, j.k...
poa!
huyu msee ni m-hardworking!
i wish... lakini mimi humuonanga na maria kim. sijui...
hizi pesa tunakulipa, wewe
hu fanya nini nazo? utanunulia
ka-dem chocolate? huh?
hehe! mimi hu-save. nataka siku moja kuwa na bizna ya
mine.
eish! huyu ni msee amejipanga!
ala!
bohohoho!!
seriously, msee!! hi
trouser yako ni ya century
gani? inakaa ya wale wasee wa
titanic!
hihihi!
haha! karis
umeni-murder! ati titanic!hahaha!
hahaha!
baadaye kwa cyber...
hii ni habit poa.
nikipata doh, sikuli zote,
na-save kiasi.
ah! mzito! i’m sure sasa kuna
doh mob hapa ndani! nitaendelea tu ku-save! lazima
ni-achieve dreams zangu man!
lazima siku moja nifungua
cyber yangu...
...niende college nipate
diploma...
...pengine nimuoe
maria kim...hmmm...
baadaye akiwa home...
2 3
4 5
ala! ni nini inafurahisha wase hivyo? noma!
ayayai! for real?!
hii ni kali! lazima!
eh, nikose nichekwe?
i like this guy!
na hii ingine ni nini?
hmmm...hii ni
chance ya ku-make
doh!
bwahahaha!
yaani hata ukivaa uniform haisaidii. bado unakaa tu m-ancient! msee, huwezi nunua
hata bling moja? na ni nini unangangana na hizi
matai? hahahaha!
siku kadhaa baadaye...
suddenly out of nowhere...
wewe achana na j.k.! unadhani dunia
mzima ni fashion? madem wana akili hawaangalii
fashion! wanatafuta msee ako na ubongo na ambition.
wewe hata hujui hizo ni nini! ishia!
j.k.! ni wewe unauza ice cream! uko
mbele!!
sema maria kim! mi niko works hapa!
hii ni poa
sana!
lazima nitafute doh juu niko na
dreams. nina-save ndio nizi-achieve.
nata siku ya concert ya
juliani niuzie wasee ice cream.
poa! si naeza
kusaidia? unilipe?
sawa. utaenda
concert?
ningetaka kuenda lakini siwezi.
nina-save doh nizitumie kufanya vitu
more important.
hiyo ni poa. una-make sense.
mara that that...
siku nyingine...
4 5
6 7
j.k.! huyo ni wewe unauza ice cream?
hehehe! ume-beat! how much kutupa mbao can
reside inside one person? wah!
fala reloaded!
wewe karis kuringa ringa tu na
hauna any. doh zako zote unatumia
tu kubadilisha madem kila siku. una nini, heh?
ati what?! wewe hubadilisha madem
kila siku?! nimeishia! babe...
ahah! talk to
the hand!
mambo bad! ati sina any... i wish haingekuwa
ukweli... ahsante!
oh! j.k.! aaah... you are welcome. hehe! ebu, rudi
job, ma-customer wanagonja...
hihihihi! karis wewe ni m-funny!
bwahahaha!
suddenly out of nowhere... tena!
dream big
UNAFANYA NINI NDIO U-ACHIEVE DREAMS ZAKO?
OTHER:............................................................
Ni nini na need nikitaka ku-achieve
DREAMS zangu?
BORROWSAVE MORE
EARN MORE
PRAY AND DO NOTHINGGET MORE DOH
REDUCE EXPENSES
START BUSINESSASK FRIENDS
SANYiA MSEE
Nita-buy goat!
Nita-buy rabbits mbili na hao yaoza kuzalisha! niuze chuo for pro�t
Nita-start bizna ya ndao!
ku-save dooh kunisaidia baadaye
1. Nita-buy clad na viatu!2. Nita-buy goat!
3. Nita-buy rabbits mbili na hao yao!4. Nita-buy pin-pop zakuuza chuo!
5. Nitapeleka mabeste kucheki movie!
“Nilianza maisha na ku-hustle, lakini sasa nime-make it in life! Hata wewe unaweza.
Believe in yourself, work hard, and na u-save doo yako juu ni cool ku-save!”
Long term goal yangu ni ku-own Cyber. Ndio hii goal ikam thru, nime-get job part time job ndio ni-pay fees zangu za colle na niwai chapaa za ku-start cyber nikimaliza colle.
Kitambo nilikuwa kama wewe, lakini
usipo save hautawai maliza
shida zako.
Kila mtu anaweza save. Uki-save 5bob kilasiku,
utakuana 1000shs. Form four iki-start
Short term goal yangu ni kuenda
concert ya Juliani na Maria Kim
Short term goal yangu ni kulipa rent na fees
yangu.
Hakuna kitu mi hubaki nayo ya
ku-save.
6 7
8
patience discipline juu nime-avoidmadem na pombefocused kwa goal yangunili-buy zile vitu zina nifaa
lazima ni avoid mabeste waziibalancing my �nancial needskuLenga zile vitu si-need, na kusavezile dooh zimebaki
Nili-grow kibich na nilikuwa na chapaa kiasi. Nilitaka kuanza biz
lakini sikuwa na chapaa enu�, lakini bro akaniokolea. Nikaanza
na shop ya ku-sell ma-top za madem zile sexy za mtush.
Kutoka 2011 nililipa hio chapaa ya bro na sasa niko na stock
ya Kshs. 60,000 kwa shop yangu. Nina save ku-start shop
zingine kama nne ndio ni–grow vile inawezekana.
Checki SAVING HERO. Issah ni hero juu ame-save chapaa!
Wewe Je?
Nini unique na wewe ime-kuhelp ku-get dooh?
Lion ina manga �rst before zingine, hata wewe uki-work, itabidi ujilipe kiasi alafu balance unatumia.
name: issahbase: kibera