Coast Newsletter

Embed Size (px)

Citation preview

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    1/12

    Nakalaya Pwani

    Kwa Haki Twagawana,Pamoja Twastawi

    Bei Ksh.10

    Wananchi wapendwa,

    Tunawashirikisha katika baadhi ya makusudio yetu ya kutaka kujenga Kenya yenye ustawi,

    demokrasia na usawa. Kutokana na maneno haya ya uwajibikaji tunaamua kutauta njia ya

    kuondoa siasa za utengamano, usaliti na utumiaji mbaya wa mali asili.

    Wakenya wengi wamevumilia mchanganyiko mchungu wa umaskini, ubaguzi na ukoseub

    wa usawa. Kuna toauti kubwa za kiuchumi katika eneo mbali mbali nchini.

    Mapendekezo yetu ya kuwajibika, kutawanya nguvu za kisiasa, kuanya ugatuzi wa huduma

    za nchi na kuunga mkono jamii za sehemu mbali mbali yatasaidia kupunguza toauti za

    usawa. Haya mabadiliko yanaangazia maswala ambayo yanadhuru nchi yetu leo.

    Serekali ya Kibaki haina suluhisho kwa sababu wao ni sehemu ya tatizo. Hawapaswi kuku-

    baliwa kuanya kazi kwa niaba ya watu wachache nchini na hasara ya Wakenya wengine.

    Tarehe 27 Desemba, nyote mtapewa naasi ya kutathmini kazi ya Kibaki. Nawakazania nyote

    mumpe barua ya kwenda nyumbani. Kazi bure ya Kibaki iishe kabisa; Kazi bora ya ODM

    ianze.

    Chama cha ODM ndicho chama cha kipekee kitakacholeta ustawi, hakikisha usawa na zaidi

    kabisa itawahakikishia uwajibikizaji. Hii ndio nyororo ambayo inatuunganisha sote kama

    cham,a na nyinyi. Mkituamini hatuta waangusha katika utumishi wetu kwenu.

    Mola awabariki; Mola aibariki Kenya

    Mheshimiwa Raila Amolo Odinga

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    2/12

    Mkoa wa Pwani umekuwa ukisahauliwa na kuachwa nyuma

    katika maendeleo tangu siku za Kenyatta, Moi na sasa Kibaki.

    Serikali zotye hizo zimeahidi, lakini zimeshindwa kutatua tatizo la

    ardhi huku pwani. Watu wengi wa pwani ni masquota. Mkoa huu

    unachangia pakubwa katika kujenga uchumi kupitia sekta ya utalii

    na huduma za mandari. Lakini kati ya pesa hizo ni kidigo sana

    hurudishwa katika mkoa huu kugharamia ukarabati wa mabara-

    rabara na vitu vingingine vya msingi ilhali kiwango cha umaskini

    kinazidi kuongezeka.

    Serikali ya ODM ita:-

    UtawalaKupitia ugatuzi, itawawezesha wananchi kuaanya maamuzi

    kuhusu mipango ya maendeleo ambayo inaambatana na mahitaji

    yao.

    Itahakikisha kuwa mkoa huu utapata mgao sao wa pesa zinazoto-

    kana na mapato ya nchi na pia usaidizi wa kutosha ili kuiwezesha

    kusawazisha ukoseu wa maendeleo uliopo.

    UtaliiItaimarishi uendeshaji wa viuo vya Nyali, Vipingo, Kikambala,

    Mtwapa, Takaungu na Shanzu ilikuziwezesha kutoa huduma za

    kimataia.

    Zindua sera itakayowawezesha wamiliki wamahoteli Katika miji

    ya Lamu, Malindi na Mombasa kuweza kupata bima na mikopo

    kwa nei nauu ili kuendeleza utalii.

    ODM itaimarisha Pwani Kaskazini kutoka ghuba la Kili mpaka

    kukia kiwango ambacho kutawavutia watalii wa mzunguko wa

    yoti.

    Muundo msingiUtawala utaipanua na kuiboresha bandari ya Kilindini. Tutaibadil-

    isha mji wa Mombasa uwe kama ule wa Dubai. Uwe ni bandari

    huru ili ivutie wawekezaji rasilimali na kupata naasi nyingi za

    kazi.

    Tutapanua na kuiboresha njia za reli ili kuweza kuongeza uanisi

    wa biashara na kuimarisha usari wa abiria, mizigo na huduma.

    Tutajenga barabara zinazozunguka mji wa Mombasa ili kupunguza

    milolongo ya magari. Tutajega barabara ya kando ili kurahisisha

    upitaji wa wingi wa magari katika mlango wa bahari wa likoni ili

    kuunguliwa wawekezaji wapya kuzuru kusini ya Pwani.

    Utawala utainua kiwango cha barabara ya Mombasa-Malindi

    kikie kiwango cha kimataia:-

    Tutaweka pesa katika upanuzi wa mawasiliano.

    Tutapanua mpango wa kueneza miradi ya umeme mashambani.

    Tutajenga vibanda vywa waanyikazi wa jua kali katika sehemu za

    Ahadi Kwa Watu Wa Pwani

    masoko kubwa.

    Utawekeza pesa katika mipango mikubwa ya unyunyiziaji wa maji

    mashambani.

    Mabadiliko ya sera ya ardhiTutaanzisha mageuzi makubwa ya sera za ardhi ili kuhakikisha kuwa

    watu wote wa pwani wanaurahia usawa na haki katika mambo

    yanayohusu ardhi na makao. Tutaweka sawa sheria na sera mpya ili

    kuhakikisha kuwa wasio na ardhi katika mkoa huu wapate makao.

    Uchumbaji wa MadiniTutatumia pesa ili kuboresha uchumbaji wa madini ya thamani katika

    sehemu ya Taita Taveta.

    Ukulima na uvuviTutaendeleza na kukuza viwanda vya mazo ya biashara. Sekta za

    korosho na minazi zitauuliwa kupitia uwekezaji wa mali katika

    viwanda vya utengenezaji wa idhaa kutokana na mimea hiyo ili kuz-

    idisha mapato ya wakulima.

    Tutawekeza pesa katika uvuvi wa samaki walio kina cha chini baha-

    rini ili kuongeza kiwango cha sasa cha samaki cha tani 6000.

    Tutauua viwanda vyote vilivyoa kama vile Kampuni ya sukari ya

    Ramisi, Bixa na viwanda vya korosho.

    Afya na elimuTutawekeza pesa katika kutauta elimu bora kwa kurekebisha viaa

    vilivyochakaa au kuharibia na kutoa viaa vya kuendelezea kazi na

    kutoa vitabu.

    Tutajenga zahanati mpya katika kila eneo la uchaguzi na kuhakikisha

    kuwa zinawaanyikazi wa kutosha na kuna viaa vyote muhimu, pana

    chumba cha upasuliaji, maabara na kuna dawa muhimu za kutosha

    kwa wagonjwa.

    Tutatengeneza shule mbili nzuri za upili katika kila eneo la uchaguzi

    moja ya vijana na moja ya wasichana. Shule hizi zitakuwa na

    maunzo ya kisasa ya teknolojia na mawasiliano na maktaba zilizo navitabu vya kutosha. Zitakuwa pia na viwanja za michezo mbali mbali.

    Tutaboresha na kuinua viwango vya hospitali na zahanati zilizoko.

    Tutahakikisha kuwa wakaazi wa zilizo na hospitali hizi wanateuliwa

    kuwa katika bodi za wakurugenzi za hospitali hizi.

    Heshimaya haki za watu wa PwaniTutaheshimu haki za watu wa pwani wakiwemo waisilamu, wakristo,

    wahindu na wauasi wa itikadi na utamaduni wa Miji Kenda . Tutatoa

    vitambulisho vya kitaia na pasipoti kwa watu wote wa pwani bila

    ubaguzi au upendeleo.

    MazingiraTutalinda misitu ya Taita taveta kwa kuiweka chini ya uhiadhi wa

    misitu ya serikali.

    C h a n g e i s h e r e2

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    3/12

    Usaliti wa Raisi Kibaki

    Desemba 2002, kulikuwa na uraha na tumaini kubwa ya mam-

    bo mazuri tuliyoyategemea Raisi Kibaki na serikali ya NARC

    walipochukua uongozi. Lakini mategemeo hayo hayakukawia.

    Mara moja Kibaki aliitupilia mbali MOU, mkataba ambao

    iliingia na wenzake wa NARC. Hii ndio njia ambayo aliamua

    kuanza uongozi wake, kwa usaliti wake aliziharibu ndoto za

    wakenya wote ambao walichagua serikali ya ujumla. Serikali

    ambayo ingeleta mageuzi ya kimsingi.

    Serikali ya ODM itarudisha imani mpya katika siasa zetu na

    kuonyesha uongozi bora ambao utakuwa wa ujumla na wa

    haki. Tutazingatia maswala ya usawa na umoja.

    Wakenya wamepigania katiba mpya kwa muda mreu bila ya

    kukua moyo. Kibaki aliwahakikishia Wakenya kuwa watapata

    katiba mpya siku 100 baada ya uongozi wake kuanza. Alivunja

    ahadi hiyo, kitendo chake cha pili cha usaliti.

    Katiba iliyo andikwa Bomas iliwakilisha matakwa na maoni

    ya Wakenya wengi. Muda mwingi ulitumika, pesa na wataal-

    amu wengi walitumika pia. Wakenya walisema wanataka nchi

    ilio na damokrasia ya kweli, inayowajibika na serikali ambayo

    inasikiliza maoni yao. Serikali ambayo itakuza amani katika

    jamhuri kwa usambazaji wa rasilimali na mamlaka. Jambo lilo-

    dhihirika ni kuwa Wakenya hawakutaka utawala wa kimabavu.

    Serikali ya ODM itahakikisha kuwa Wakenya wamepata

    katiba mpya ndani yamiezi sita ya utawala. Katiba hii

    itahakikisha kuwa kuna usawa, uwajibikizaji wa serikali na

    raisi na ugatuzi wa mamlaka.

    Masahibu wa Kibaki wamesikika wakisema kuwa katiba mpya

    ilikuwa tu ni njia ya kumuondoa Moi mamlakani, lakini kwa

    kuwa sasa ni mmoja wao ambaye yuko mamlakani hakuna

    haja ya katiba mpya. Katiba ambayo italeta usambazi wa kweli

    wa mamlaka. Badala ya kuwapa Wakenya mswada wa Bomas

    walizindua tasiri mpya yaani mswada wa Wako. Huu uli-

    kuwa ni usaliti wa Tatu wa Kibaki.

    Kibaki alishindwa katika kura ya maoni alipoipendekeza Wako

    Drat na baadaye akawauta kazi watu ambao waliotaka sauti

    za raia zisikike na ziwatwe. Baada ya hapo alishiriakiana na

    watu wale ambao Wakenya waliwatupilia mbali walipompa

    kura zao mwaka wa 2002. Hivyo basi hilo lilikuwa tendo lake

    la nne la usaliti.

    Serikali ya ODM itawaletea mtindo wa utawala wa bungeambayo itagawa mamlaka na sio kuamwachia mtu mmoja

    mamlaka yote.

    Hakikisho la Katiba Mpya

    Kati ya matendo yote mabaya ya Kibaki na serikali yake hakuna

    iliyo zidi kile kitendo chake cha kukubali usadi wa zamani na wa

    sasa. Aliapa kupigana na usadi hadi mwisho wake alipoingia mam-

    lakani lakini sasa anaikubali bila kusita. Wimbo wa Yote yawezeka-

    na bila Moi imebadilika kuwa Kama unataka kutawala nchi vibaya

    na kuiibia basi shirikiana na Moi.

    Kibaki aliivunja ahadi yake kubwa na muhimu. Serikali yake

    imeshindwa kuwaleta watu waliohusika na uwizi mkubwa wa Gold-

    enberg (ambao ilianywa waklati wa Moi ambapo zaidi ya shillingibilioni 18 za uma ziliibiwa) mahakamani. Ripoti ya Kroll iliyoa-

    giziwa na serikali yake ili kutambua na kurudisha mali ambayo

    iliyoibiwa na Moi imewekwa tu bila kushughulikiwa. Huku kutochu-

    kuliwa hatua kwa watu hawa ni kitendo cha tano cha usaliti kwa

    Wakenya na matakwa yao.

    Serikali ya ODM itatauta ukweli na kuanzisha Tume ya Urudis-

    haji wa Mali ya Uma kama njia ya kumaliza huo usadi wa za-

    mani kwa njia ya haki, ukweli, upatanishi na urudishaji wa mali.

    Hii itajumlisha urudishaji wa mali iliyotwaliwa na usameheaji wa

    hao wasadi waliorudisha mali walioiba. Mambo haya yataany-

    wa kwa njia ya haki- kwa kuwalipa walioathirika kwa hali na

    mali. Tutasimamia mpango amaboutawasaidia Wakenya kurud-

    ishiwa kilicho chao. Mpango huu una mizizi katika mila zetu.

    Chini ya uongozi wa Kibaki usadi mwingine mkubwa ulitokea

    kasha maaruu ya Ango-Leasing ambapo mambo ya serikali yake

    kuhusika katika ulaghai wa kutoa zabuni ulichuliwa. Iligunduliwa

    kuwa kama isingechuliwa ingewagharimu Wakenya pesa nyingi.

    Kiwango hiki cha kukubali usadi wa hali ya juu katika serikali ya

    Kibaki ni kitendo chake cha sita cha usaliti.

    Serikali ya ODM itaangalia upya utendaji wa kazi na utoaji wa

    huduma za serikali za kupambana na usadi. Hii ni kwa sababu

    mabli na wajibu wetu, pesa nyingi zinatumika kupambana na

    shida hii bila ya matokeo yoyote.

    Mwisho wa yote, wasadi na waonevu wameungana pamoja kisiasa

    katika uchaguzi huu. Raisi mstaau Moi amekukuja na mradi wake

    Uhuru Kenyatta mukoni akiambatana na kundi la wakora kama

    Biwott na Pattni ambao sasa ni vigogo wa PNU. Wauasi wa Nyayo

    waliotorokea dirishani kutoka ikulu mwaka wa 2002 walipoukuzwa

    na Wakenya wamerudi sasa kupitia mlango wa mbele bila aibuyoyote. Tendo kubwa la Usaliti! Usaliti wa saba kwa Wakenya walio

    mpigia kura. Ni Lazima Kibaki atoke!

    C h a n g e i s h e r e 3

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    4/12C h a n g e i s h e r e

    Mafuta ya Taa-305%

    Des.2002 Ksh.22

    Sept. 2007 Ksh.63

    Okt. 2007 Ksh.67

    Mkate-176%

    Dec.2002 Ksh.17

    Sept. 2007 Ksh.22

    Okt. 2007 Ksh.30sukari 1kg-407%

    Dec.2002 Ksh.27

    Sept. 2007 Ksh.65

    Okt. 2007 Ksh.110

    Unga ya ugali-204%

    Dec.2002 Ksh.27

    Sept. 2007 Ksh.50

    Okt. 2007 Ksh.55

    Unga ya ngano-331%

    Des.2002 Ksh.35

    Sept. 2007 Ksh.65

    Okt. 2007 Ksh.116

    1/2l Maziwa- 187%

    Des.2002 Ksh.15

    Sept. 2007 Ksh.20Okt. 2007 Ksh.28

    Kuishi na kibaki ni kuumia kwingi

    Ni wakati wa kundoka bwana raisi

    4

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    5/12

    The Problem:

    President Kibakis growth is for the few not all

    Under Kibaki the rich have grown richer and the poor poorer. The

    top 10% o Kenyas population continues to control nearly hal our

    nations wealth. That means that or every 1 shilling earned by a

    poor Kenyan, the rich earned 56 shillings. This inequality has not

    altered even though Kibaki trumpets his positive economic record.

    The growth is not inclusive and is exclusive only to the rich. The

    richest 10% now earn 42% o the national cake as opposed to 36%

    ve years ago. This demonstrates that the Kibaki Government is a

    government o the rich, by the rich and or the rich. The poor are,

    at best, bystanders.

    Solid economic growth is crucial or eradicating poverty, but get-

    ting economic growth to percolate or trickle down to assist the

    poor is a perennial challenge. How many very poor vulnerable

    children and adults have to die beore the ruit o economic growth

    reaches them?

    The Solution:

    ODM Governments Usawa Programme

    We are determined to ght inequality head on. ODM is a party

    that is responsive to peoples most basic needs.

    The Blair Commission or Arica recognised cash transers as a

    key tool in tackling extreme poverty in Sub-Saharan Arica and

    recognises its potential impact on poverty and inequality as well

    as its contribution to promoting and distributing growth. The

    children rom the households receiving cash transers have an

    opportunity to break the inter-generational cycle o poverty.

    A ew Kenyans have been generously assisted by our develop-

    ment partners in providing assistance to the very poor, such as,

    Orphans & Vulnerable Children Cash Transer Programme and

    the Hunger Saety Net Programme delivering guaranteed cash

    transers to chronically ood-insecure households. We applaud

    these programmes and pledge to scale-up the eorts o our

    development partners by extending the programme nationally so

    that social protection investment contributes to overall economic

    growth.

    We will introduce a social protection programme or the very

    poor households by monthly cash transers. This will reducecurrent poverty and inequality by providing a minimum level

    o income or extremely poor amilies. This will be ODM Gov-

    Fostering Prosperity and Eradicating Poverty

    ernments fagship poverty reduction programme, called, the

    Usawa Programme.

    The objective o the programme is to contribute to national

    eorts to reduce poverty and hunger in ultra poor households,

    increase school enrolment and attendance and improve the

    health, nutrition, protection and well-being o orphaned and

    vulnerable children and the very old.

    We will immediately undertake a budget cleansing exercise

    covering all Ministries in the Central Government to look or

    overall national savings which can go towards launching the

    Usawa Programme. This will help us to identiy question-

    able debt, especially the commercial ones. It will also help in

    elimination o wastage that currently occurs through procure-

    ment, duplication in allocations, and questionable allocations.

    We have already identied a large amount o savings and are

    condent in achieving our pledge.

    We will achieve stable economic growth and pursue policies

    or equitable distribution o income, wealth and resources.

    C h a n g e i s h e r e 5

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    6/12

    The Challenges:

    Kenyas population is pro-

    jected to grow to over 60 mil-

    lion people by the year 2043.

    There will be a big challenge

    to provide optimal inrastruc-

    ture and services to meet the

    demands o this population.

    Such challenges are already

    evident. A majority o the

    Kenyan population have no

    access to clean water, ood and

    shelter. Inrastructure (transport,water, energy, telecommunica-

    tions and inormation technology)

    is a central pillar in Kenyas economic

    recovery programme. Good inrastructure is

    essential in lowering the costs o doing business

    and increasing competitiveness o Kenyan products,

    both locally, regionally and internationally. Road maintenance

    and development has been grossly under-unded by the Kibaki

    Government.

    There has also been a lack o investment by both the govern-

    ment and the private sector on rail inrastructure. As a result,

    the existing Kenyan rail network is almost obsolete due to its

    outdated technology and aged condition. It is thereore not

    surprising that President Museveni recently stated that our

    railways should be in a museum as an artiact!

    There is a direct link between electric power supply, job cre-

    ation and poverty alleviation. Electriying rural areas, towns

    and markets increases opportunities or employment in the

    centres and improve living standards. Under Kibaki the energy

    costs have remained high and this impacts negatively on the

    cost o Kenyan goods and services and hence their competi-

    tiveness.

    The latest inormation and communications technology (ICT)

    has enabled countries like India and China to change their

    destinies and uture o their people. Kenya needs to learn rom

    their experience and signicantly invest in ICT.

    Access to water is the key to survival and access to sanita-

    tion is a undamental issue o human dignity. Clean water and

    sanitation coverage remains very low.

    Investing in InfrastructureYour ODM Government will:

    Invest at least 10% of our GDP on infrastructure development

    over the next 5 years.

    Introduce a special sovereign bond for the purpose of raising

    nance or rapid inrastructure development.

    Build good roads that will reach all Kenyans and cover all parts

    o the country, thus achieving our ambition to get Kenyans and

    Kenya physically inter-connected.

    Address the existing imbalance in the provision of road infra-

    structure that is concentrated on the so called high potential

    areas to improve accessibility or the development o all eco-nomic sectors and regions in Kenya.

    Use labour-intensive methods in roads construction to create

    employment cells countrywide. Minimum wages will be set to

    stem overexploitation o women and youth.

    Create Road Maintenance Training Centres in the devolved

    regions to skill-up labourers through apprenticeship schemes.

    Construct a modern, electric, international standard 1.6m

    gauge, high speed railway system to link key cities and towns

    in the country or rapid transit o passengers and bulky goods.

    This would protect our roads and lower costs or businesses. The

    opening o the new railway line will be ODMs special pledge

    or Kenyas 50th Anniversary Independence.

    Increase electricity generation capacity to 10,000 megawatts in

    the next 10 years to attract foreign direct investment.

    Explore and exploit geothermal resources to increase electric

    power generation to meet the emerging demands or electricity.

    Develop solar power stations and wind farms as renewable

    sources o energy.

    Expand rural electrication penetration through sufcient al-

    location o public resources.

    Invest in ICT infrastructure, especially, high-speed internet

    backbone networks across the country.

    Ensure efcient and equitable delivery of clean water.

    Invest in sanitation facilities and irrigation schemes.

    C h a n g e i s h e r e6

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    7/12

    Whats ina name?

    C h a n g e i s h e r e

    PNUPinga NyayoUone

    Porojo NaUpumbavu

    Party oNoUnderstanding

    Pitia NyeriUjionee

    Party oNoUsePiga NyanganyaUa

    ODMOne Determined Movement

    One Decisive Man

    One Decent Movement

    One Devoted Man

    One Desirable Movement

    One Dedicated Man

    One Democratic Movement

    One

    Distinguished

    Man

    One Devolved Movement

    7

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    8/12

    President Kibakis Statistical Distortions:

    There is no link between the high level o economic growth re-

    ported by Kibaki Government in various years and the creation

    o employment. His Government has reported (via various paper

    adverts by the Treasury and his own Kenyatta day speech) that

    about 467,000 new jobs have been created since Narc came to

    power and that this amounts to about 93% delivery o their

    500,000 new pledge o jobs.

    This statistic is a misrepresentation and distortion o acts.

    There is strong evidence showing that the Kenyan economy has

    over time and history been able to create between 400,000 and

    450,000 new jobs on average regardless o the party in powerand regardless o whether the economy is booming or stagnant.

    Between 1999 and 2002 (when the economy was in doldrums)

    there were still 454,000 new jobs created within the context o

    only 1.7% average economic growth. It demonstrates that even

    when the economy is growing rapidly, the rate o job creation

    has neither been proportionate nor commensurate with a boom-

    ing economy.

    The sectors that are creating jobs are not linked at all with the

    people who need employment most, that is, young university

    and college graduates, youths in urban and rural areas, and

    those who are laid o because o retrenchment and industry

    closures.

    The ODM Governments initiatives to create real jobs

    We will:

    Change the anomalies created by past regimes and the cur-

    rent Kibaki Government that has ailed to reconcile and link

    the realities o Kenyas growth process with its labour and

    human resource potential.

    Employ local labour in key public works, infrastructural

    and development projects.

    Implement policies that reduce barriers to work including

    education, skills and training to create an adaptive, fex-

    ible and productive workorce.

    Pursue active labour market policies providing tailored

    and appropriate help or those without work, to preventlong term detachment rom the labour market.

    Help and target youths and adults without work and with

    poor employability skills move into sustained employment.

    Provide basic employability training for jobless people withsevere literacy and numeracy problems to remove their barri-

    ers to employment and enable them to gain employment.

    Promote the role of SMEs in sustainable job creation and

    provision o goods and services which are better adapted to

    local market needs through progressive reorm to boost pro-

    duction and distribution capacities of SMEs.

    Implement policies and programmes to create decent jobs

    and entrepreneurial opportunities to assist JuaKali workers

    and employers to move into the ormal economy.

    Create and strengthen an enterprise culture which favours

    initiatives, enterprise creation, productivity, environmental

    consciousness, quality, good labour and industrial relations,

    and adequate social practices which is equitable.

    Open Jobseeker ofces in major cities and towns before

    going nationwide or assisting those that have completed

    secondary school education and graduates. This will be our

    new government initiative to deal with unemployment. It will

    provide an active service to help people move rom jobless-

    ness into work. The oces will be manned by job advisers

    who will register jobseekers, provide training and individual

    guidance in job searching techniques, including providing

    traini ng, interview skills and assistance in the preparation o

    curriculum vitae.

    Ensure polytechnics become Skills Academies as these in-

    stitutions will be a key driver in improving vocational educa-

    tion at a national, regional and local level. They will provide

    training programmes or young people and adults aimed atmeeting potential employers current and uture skills needs.

    Thus, these academies will be employer-led.

    Creating Opportunities For Employment

    C h a n g e i s h e r e8

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    9/12

    Cost of corruption The billions o shillings that have been wasted on corruption scandals in this country are more than enough to improve

    the lot o our citizens - by providing education, access to sae water, employment and proper roads. See the gures below:

    C h a n g e i s h e r e 9

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    10/12

    President Kibakis failure in providing safety and

    security for all

    Kenyans have a right to sleep saely in their homes, walk saely

    on the streets and drive saely on the roads. The Governments

    duty is to maintain that security. However, crime is rising ast

    under Kibaki while some members o the police have been

    involved in political activities on behal o his government. The

    recent exposure o two policemen dumping hate literature

    in Rit Valley shows clearly Kibakis priority using the police

    or his own political survival, not protecting all Kenyans rom

    crime.

    Kibakis disregard o his duty to protect all Kenyans was most

    evident in the Mamluki aair, whose presence and sor-

    did saga was revealed by ODM Presidential Candidate, Raila

    Odinga. The notorious Armenian brothers were state guests,

    given police IDs o Deputy Commissioner rank. They were bla-

    tantly deended then gently escorted out o Kenya without the

    Government taking them to court to discover why they were

    here! The independent parliamentary committee report on the

    Mamlukis identied key members o Kibakis amily, govern-

    ment and State House ocials as directly involved with the

    Artur brothers. To date there has been no action taken against

    anyone! It is obvious that Kibakis justice system protects the

    ew but not many.

    There is insecurity in many regions o Kenya with shocking

    images o death and destruction rom Kuresoi, Molo and Mount

    Elgon. Sadly, Kibaki remains silent and does not bother to visitthe aected areas. However, in September 1994 as Leader o

    Opposition he did visit the victims o the inamous Enoosupukia

    ethnic violence. He shed tears at the Maella Catholic Church

    with his inspirational words, guutiri utuku utakiaga (there is

    no night that does not see the light o day). This Kikuyu idiom

    is usually used to lit sadness and comort victims when no

    immediate solutions are available. But Kibaki did nothing in 5

    years as President or victims o Enoosupukia. The victims o

    ethnic clashes have multiplied in his Presidency but now he has

    no time or words o comort let alone action.

    The crime wave in and around Nairobi has caused ear within

    our society as Kibaki unleashes special police squads to tackle

    the Mungiki problem. Rather than investigate, arrest and bring

    charges against suspected criminals-as per law, we have seen very

    many alleged executions and disappearances. About 500 bodies o

    young men have been dumped in various mortuaries by police and

    reports suggest that other bodies were thrown in the wild. Almostall bear classic execution signs o a bullet in the head. These extra-

    judicial killings are the rst step in creating a police state by Kibaki,

    by throwing away the law and using police as killing squads.

    Your ODM Government will never take your security for

    granted

    We will never take or granted the security o Kenyans. It will be

    our legal duty to protect citizens rom crime and confict and ensure

    that the rule o law is upheld in criminal investigations. We will

    strengthen Councils of Elders and other community tribunals to

    adjudicate in land disputes and assist internally displaced people.

    We will:

    Boost numbers o police vehicles, communication equipment and

    ocers to enhance crime prevention and investigative capacity.

    Increase overall spending on crime prevention and ensure that

    the resources are devolved to local police stations.

    Map crime hotspots in urban and rural areas and deploy more

    police ocers to enhance police visibility and physical presence.

    Deploy close circuit television cameras in central business dis-

    tricts o Nairobi and major cities as a tool detect and deter crime.

    Use the nations deence orces to provide extra support in polic-

    ing our national borders to help stop illegal fow o small arms.

    Set up a Metropolitan Police Authority in Nairobi based on

    South Aricas Scorpion orce. The new crack orce will be bet-

    ter educated, trained and equipped to tackle rising gun crime and

    murder and be the basis o a genuine accountable police orce.

    Review current police remuneration, housing, oce acilitiesand training with a view to signicantly enhancing them.

    Fighting Crime & Insecurity

    C h a n g e i s h e r e10

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    11/12

    The Rise Of

    Tribalism

    Under KibakiTribalism is a national disease knowing no

    regional boundaries and not conned to

    any one community. It rules our national

    politics and divides us unnecessarily.

    Kibaki has compounded the ethnicity ac-

    tor and deepened it in our public ser-

    vice by appointing people rom his own

    community. Thus, the reorganization in

    his government post-Moi was dictated by

    prejudice and not equity.

    Under Kibaki kazi iendelee means let the

    status quo prevail public jobs or the

    chosen ew and not all.

    The Fall Of

    TribalismUnder ODMAn ODM Government will:

    Ensure that we represent all the people,

    not just one interest group. We will ac-

    tively seek to remove those obstacles which

    hinder individual achievement obstacles

    emanating rom tribe, gender, or economic

    condition.

    Guarantee to build a Kenyan society

    based on airness and equality o oppor-

    tunity or all where merit comes beore

    privilege.

    Introduce an independent Presidential

    Public Appointments Commission whose

    task is to ensure that appointments to pub-lic oces are based on merit and refect

    the ethnic diversity o Kenya in its overall

    representation.

    We PledgeBelow are some of the other pledges we have made in our Plan for

    Government.

    Urban RenewalWe will ensure Nairobi becomes a regional hub or commerce and nance. We willshowcase our capital as a 24-hour city by investing in inrastructure, ICT, security

    and planning. We will invest in urban regeneration and renewal.

    HealthWe will provide ree health care to all children under the age o 5 years. We will

    expand sae motherhood programmes in all districts by ensuring that these centres

    are adequately equipped and have improved reerral system, communications systems

    and transportation acilities. We will provide ree ante-natal, maternity and post-

    natal care or expectant mothers.

    These are rst ew steps in our ambition to provide ree universal health care or all.

    EducationWe will introduce ree quality secondary education within a system o a comprehen-

    sive basic education rom early childhood to Form Four.

    GenderWe will intensiy eorts and actions to redress the existing persistent gender dispari-

    ties in Kenya which hamper the ull integration o women in our society. There will

    be no glass ceilings on the aspirations o women as we strive progressively towards

    realising a 50:50 gender ratio in all public bodies.

    EnvironmentWe will combat escalating environmental degradation and desertication by ensur-

    ing that environmental policy is built into every economic decision in all areas o

    government policy.

    SportsWe will develop a progressive sports policy, expand opportunities or excellence in

    sports; streamline sports administration; develop and maintain sports acilities and

    bestow honour on high achievers in the sporting arena.

    C h a n g e i s h e r e 11

  • 8/14/2019 Coast Newsletter

    12/12

    President Kibaki has no constant

    guiding principles - no moral,

    social or political compass. He

    has been integral in all post-

    colonial administrations his

    uture is his past. He has fip-

    fopped, reneged, prevaricated,

    or sat on the ence on all

    undamental issues that concern

    Kenyans during his entire

    political career. He has lost all

    credibility and ailed to lead

    rom the ront. He is unt to

    return to work. He must be

    denied another chance to work

    or the ew at the expense o

    working or all Kenyans.

    -Raila Amolo Odinga

    Vote for

    Raila Amolo OdingaFor President

    C h a n g e i s h e r e