22

01 - Mwanzo Hadithi

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 1 Shujaaz.FM

Citation preview

Page 1: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 2: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 3: 01 - Mwanzo Hadithi

ShujaazFM is published by Well Told Story Ltd. All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Serah Mwihaki Pencils: Daniel Muli, Eric Muthoga, Naddya Oluoch Olunya Inks & colours & letters: Movin Were, Daniel Muli, Naddya Oluoch Olunya Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio.Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

Page 4: 01 - Mwanzo Hadithi

Published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 020 883121 / 0719 407512Printed by Bizone Limited, P. O. Box 47969 00100 Enterprise Road, NairobiSupported by: British High Commission, Nairobi; Safaricom

BIZONE

Page 5: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 6: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 7: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 8: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 9: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 10: 01 - Mwanzo Hadithi

HII NI TRUE STORY. ZINABAMBA?

WATU HUKO GHANA NA NIGERIA WAMEGUNDUA KUWA KUKU VIFARANGA WAKIPAKWA DYE YA RANGI YA PINK, HAWKS NA NDEGE ZA AINA ZINGINE HAWAZIBEBI NA KUZIKULA.

KUPAKWA DYE HUWA INAFANYWA USIKU KWA CHICKS NA HEN.

HII HUWA PLAN YA KUFANYA KUKU AJIONE KAMA VIFARANGA WANZAKE NA ASIWAKATAE ASUBUHI. HAWKS NA MA-EAGLES HUCHEKI KWA HEWA NA KUONA KITU STRANGE JUU YA HIYO COLOR.

HII DYEING HAIJAJARIBIWA HUKU KENYA, JARIBU UONE KAMA HAWKS ZA KENYA NI SMATTA KULIKO ZA GHANA! UNAWEZA IJARIBU UKITUMIA GV (GENTIAN VIOLET) KUZI DYE LAKINI CHUNGA HIYO DYE ISIINGIE KWA MACHO YA CHICKS NA KUKU.

KISHA TUTUMIE SMS KWA NAMBARI 3008 UKITWAMBIA VILE UMESAIDIKA NA KU-DYE CHICKS PINK.

HEBU CHEKI HIZI PICHA ZA PINK CHICKS!

Page 11: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 12: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 13: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 14: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 15: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 16: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 17: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 18: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 19: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 20: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 21: 01 - Mwanzo Hadithi
Page 22: 01 - Mwanzo Hadithi

Mwaka wa 2008 baada noma ya election, coaches wa vikundi 10 za mpira huko Kibera walijoin wakaanzisha project ya kupanda mboga kwa gunia kama njia ya kuwasaidia kupata chakula na kuinua maisha.

Hawa vijana hawakuwa na jembe. Wanatumia vijiti kupanda mimea yao na inafanya kazi. Ona picha zifuatazo.

Q. Mlianzisha hii project aje?

A. macoaches wa hizo teams kumi Walifikiria vile wangefanya ili kuji-keep busy wakati hawana game ama wakati maplayers wakoshule. mbeleni, hii shamba ilikuwa ni bush karibu na field yetu. Tukajipanga na kutrainiwa kupanda kwa gunia.. ilitubidi ku contribute kila mtu mia mia kununua magunia.

Q. Hii group yenu iko na members wa umri gani?

A. Tuna wasee wako kati 16 years hadi 26 years.

Q. Nyinyi huwa mna manage hii project aje?

A. Sisi huwa na duty roster ya kumwagilia maji na tuna siku ya kuweed pia. tunakuja pamoja Sato kufanya tizi, na huo ndio time tunacheki shamba juu iko karibu na field.

Q. Nini iliwafanya kuanza hii team?

A. Kwanza, kupanda sukuma kujisaidia kupata food ambayo kwa sasa imekuw expensive.

Na kutuwezesha kuwa na discipline na kufanya job pamoja kama mandugu.

Q. Ni kitu gani poa unaona kutoka na sukuma za gunia

A. Ni vipoa juu inatumia space kidogo. pia inatu-fanya ku avoid mambo kama kuwa idle, na kuji-involve na crime ambayo imekuwa common.