0000.doc

Embed Size (px)

Citation preview

  • 7/24/2019 0000.doc

    1/4

    BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    TAARIFA KWA UMMA

    UTARATIBU WA KUPOKEA NA KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YAWANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    1.0 UTANGULIZIKumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wadau wakiwemowanafunzi wa elimu ya juu kuhusu kuchelewa au kutokushughulikiwa kwamalalamiko yao yanayohusu mikopo ipasavyo katika ngazi za vyuo nakatika osi za Bodi. Kufuatia malalamiko hayo, Bodi imeboresha utaratibuwa kushughulikia maswali au malalamiko katika ngazi zote ili kuongezaufanisi.

    Hata hivyo, kabla ya kueleza kuhusu utaratibu huu ulioboreshwa,tungependa kueleza sifa na vigezo vinavyotoa ustahili kwa anafunzikupata mkopo.

    2.0 SIFA ZA MWOMBAJI!toaji mikopo unaongozwa na "heria #a. $ ya %&&' ya Bodi ya (ikopokwa anafunzi wa )limu ya *uu +kama ilivyorekebishwa #a. $ ya %&&'hususani vifungu vyake vya - na -/. 0amoja na mambo mengine, sheriahii inaitaka Bodi kutoa msaada wa kifedha kwa njia ya mkopo kwamwanafunzi mwenye sifa ambaye ameomba kupewa mkopo huo

    umwezeshe kugharamia mahitaji yake yote au baadhi katika masomoyake ya elimu ya juu. Hivyo basi, kila mwaka "erikali kupitia Bodi,huandaa vigezo na sifa zitakazotumika katika kutoa mikopo kwa mwakahusika kwa kuzingatia matakwa ya sheria. Kimsingi vigezo ambavyovimebainishwa na sheria ni1

    a 2we mtanzania3b 2we ameomba mkopo kupitia mtandao wa Bodi +4nline 5oan

    and (anagement "ystem +452("3c 2we amechaguliwa kujiunga na masomo katika chuo chenye

    ithibati kinachotambuliwa na kusajiliwa na 67! au #276) kamamwanafunzi 8full time93

    d 2we ni mwanafunzi anayeendelea na masomo ambayeamefaulu mitihani inayomwezesha kuendelea na mwakaunaofuata wa masomo3

    e 2siwe ni mnufaika wa mkopo au ruzuku kutoka taasisi nyingineau watu wengine3

    f 2liyemaliza kidato cha sita, mafunzo ya ufundi au ualimu .....g Kwa kuzingatia idadi ya waombaji na uwezo wa Bodi ya kibajeti,

    mikopo hutolewa kwanza kwa1

    "heria iliyoiunda Bodi imeipa mamlaka ya kutengeneza vigezo vya

    nyongeza vinavyoboresha zoezi la utoaji wa mikopo ambapo kilamwaka Bodi huandaa na kutangaza (wongozo wa !kopeshaji wa

    -

  • 7/24/2019 0000.doc

    2/4

    mwaka unaofuatia ambao hutangazwa kabla ya msimu wa wanafunzikuomba mikopo kuanza. (wongozo uliotangazwa kuongezauchambuaji maombi ya mikopo kwa ajili ya mwaka wa masomo%&-:;-, ulitoa sifa zinazowapa waombaji ustahili kama ifuatavyo1

    anafunzi wanaosoma programu za kipaumbele kwa taifaambao hupata asilimia -&&. 0rogramu hizo ni "ayansi za6iba, !alimu wa (asomo ya "ayansi na Hisabati, !handisi

    wa !mwagiliaji na !handisi wa amuzi uwezo +(eans 6esting.

    3.0 UTANGAZAJI WA WAOMBAJI WALIOFANIKIWA KUPANGIWAMIKOPO NA UANDAAJI WA MALIPO

    3.1 UTANGAZAJI WA MAJINA YA WAOMBAJI WALIOPANGIWAMIKOPO

    Baada ya uchambuzi wa taarifa zote za waombaji kwa kuzingatiamwongozo uliotolewa kufanyika taarifa za, waombaji waliofanikiwa.Kupangiwa mikopo +loan allocation hutumwa vyuoni, hupokelewana (enejimenti za vyuo na kukishwa kwenye madawati ya mikopo+5oan 4?cers ya vyuo husika huitangaza orodha hiyo kwaanafunzi halali wa vyuo husika kwa njia mbalimbali kamakubandika kwenye ubao wa matangazo +notice board na kupelekaosi za "erikali za anafunzi.. 2idha, orodha hiyo huwekwa kwenyemtandao wa Bodi +452(" ili wanafunzi waweze kuiona.

    3.2 UANDAAJI WA MALIPO(alipo hufanywa kwa waombaji waliofanikiwa kupata (ikopo malipo yaoohupelekwa kwenye chuo ili chuo kiwalipe baada ya kuwatambua vizurikuwa ni anafunzi halali wa chuo hicho kwa kuangalia vitambulisho vyao.ambapo Bodi ya (ikopo hufanya malipo kwa njia ya ch!"# kwakukilipa chuo husika ambacho huwajibika kuwalipa wanafunzi ndani yasiku saba +&/ tangu kipokee fedha kutoka Bodi ya (ikopo.

    3.3 MAJUKUMU YA LOAN OFFI$ER#

    (namo mwaka %&-- serikali iliunda 6ume ambayo ilitazama namna yakuboresha mfumo mzima wa !toaji wa (ikopo. 0amoja na mambomengine, tume ilipendekeza kuanzishwa kwa madawati ya (ikopo kwenyekila chuo. atumishi katika madawati hayo walitakiwa kuitwa (aasa(ikopo.

    (ajukumu yao yanatakiwa kuwa ni1

    a. Kutunza kumbukumbu ya wanafunzi wote wanaopata mikopokutoka Bodi ya (ikopo3

    b. Kuhakiki uwepo wa wanafunzi waliopangiwa mikopo katika chuo

    chake kabla wanafunzi hao hawajapokea malipo3

    %

  • 7/24/2019 0000.doc

    3/4

    c. Kuanzisha na kutunza kumbukumbu ya wanafunzi wanufaika wamikopo na wanaoacha masomo kwa sababu mbalimbali +Kifo,uhamisho, kuahirisha n.k. 2idha, @5oan 4?cer> huyu, anapaswakuandaa taarifa hizi na kuziwasilisha Bodi ya (ikopo kila mwishowa robo mwaka wa masomo3

    d. Kuratibu uandaaji wa matokeo ya mitihani ya wanafunzi nakuyawasilisha Bodi ya (ikopo ndani ya siku A& kabla ya kuanzakwa mwaka mpya wa masomo na kwa matokeo ya marudio

    $"upplimetary )aminations, angalau siku A& baada ya chuokufunguliwa3

    e. Kuratibu uandaaji na uwasilishaji wa 2nkara na (adai %I&'()c*+&, $-+)*/ kwa wanafunzi wenye mikopo kwa ajili ya malipo3

    f. Kuhakikisha wanufaika halali wanathibitisha upokeaji mikopo kwakutia saini kwenye karatasi za malipo na kuhakikisha kwa waleambao hawajasaini, fedha zao zinarudishwa Bodi ya (ikopo3 na

    g. Kupokea na kuyafanyia kazi maswali na malalamiko kutoka kwawanafunzi yanayohusu utoaji wa mikopo na kuyatolea ufafanuzi.Ckiwa yanahitaji ufafanuzi wa ziada, kuwasilisha kwa Bodi ya(ikopo kwa hatua zaidi

    .0 UTARATIBU ULIOBORESHWA WA KUSHUGHULIKIAMALAMAMIKO YA WANAFUNZI

    Kama tulivyosema hapo awali, ili kuboresha ufanisi wa utoaji mikopo,mwezi 2gosti mwaka %&--, "erikali kupitia iliyokuwa izara ya )limu na(afunzo ya !fundi ilivielekeza vyuo vyote za elimu ya juu kuanzishamadawati yatakayoratibu na kusimamia masuala ya mikopo na ruzukukwa wanafunzi wa vyuo husika. A)( h)-) -)4-5+ ')"6) 4)+*)&+ h)') *+*+ 4)-+ ch"( ch+ -)" 7+ 8"" 4)&+ A9*+ +&+7*)+)+

    +*"+-+ 7+ )4(:( &+ 6""4" 45+ 5+&+;"&) 5+(5+&+(4(:*h4+.

    Hivyo, Bodi ya (ikopo ya anafunzi wa )limu ya *uu +H)"5B inapendakuwakumbusha wadau wake wote, wakiwemo wanafunzi wa vyuo vyaelimu ya juu, kuhusu utaratibu wa kuwasilisha malalamiko au maswaliyanayohusu mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu kamaifuatavyo hapa chini.

    i. KWANZA

  • 7/24/2019 0000.doc

    4/4

    huyo @5oan 4?cer> ambaye naye anapaswa kutoa majibu aukuchukua hatua ndani ya siku mbili +&%, kama siyo siku hiyo hiyo3

    iv. NNE