View
5.844
Download
3
Category
Preview:
DESCRIPTION
Pra
Citation preview
JKMC - Ndagani 1
Praises.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 2
Chakutumaini Sina.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 3
1)Chakutumaini Sina, Ila damu yake Bwana, Sina wema wakutosha, Dhambi zangu kuziosha.
Kwake Yesu nasimama, Ndiye mwamba, ni salama,Ndiye mwamba, ni salama,Ndiye mwamba, ni salama.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 4
2)Njia yangu iwe ndefu,Yeye hunipa wokovu, Mawimbi yakinipiga,Nguvu zake ndiyo nanga.
Kwake Yesu nasimama, Ndiye mwamba, ni salama,Ndiye mwamba, ni salama,Ndiye mwamba, ni salama.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 5
3) Damu yake na sadaka, Nategemea daima, Yote chini yakiisha, Mwokozi atanitosha.
Kwake Yesu nasimama, Ndiye mwamba, ni salama,Ndiye mwamba, ni salama,Ndiye mwamba, ni salama.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 6
4)Nikiitwa hukumuni, Rohoni nina amani, Nikivikwa haki yake, Sina hofu mbele zake.
Kwake Yesu nasimama, Ndiye mwamba, ni salama,Ndiye mwamba, ni salama,Ndiye mwamba, ni salama.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 7
Moyo wangu sifu Bwana.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 8
Moyo wangu, sifu Bwana, sifu Bwana;
Siku zote Siku zote; Halleluyah, Halleluyah;
Imba imba Imba imba; Anaweza, anaweza;
Shangilia Shangilia; Kwa shangwe kubwa,
anaweza;
Ndiye Bwana Ndiye Bwana, wa Mabwana....
03/04/2011
JKMC - Ndagani 9
Shangilia, ametenda mema,
Yesu Bwana,
Mfalme wa ajabu,
Ameshinda, kifo na mauti,
Atawale,
Milele Amina, aah!!! 03/04/2011
JKMC - Ndagani 10
Worship
03/04/2011
JKMC - Ndagani 11
MWAMBA WENYE IMARA
03/04/2011
JKMC - Ndagani 12
1)Mwamba wenye imara
Kwako nitajificha Hayo maji na damu
Toka mbavuni mwako Dhambi zangu takasa
Mzigo kuondoa
03/04/2011
JKMC - Ndagani 13
2)Sina cha mkononi
Naja msalabani Ni tupu univike
Nimyonge nishike Mimi mmmchafu naja NiosheBwana nisife
03/04/2011
JKMC - Ndagani 14
3)Maisha yaishapo Na mauti yajapo
Nipaapo Mbinguni Nikuone enzini
Mwamba wenye imara Kwako nitajificha
03/04/2011
JKMC - Ndagani 15
4)Sina cha mkononi
Naja msalabani Ni tupu univike
Nimyonge nishike Mimi mmmchafu naja NiosheBwana nisife
~End~
03/04/2011
JKMC - Ndagani 16
Nataka Nikujue
03/04/2011
JKMC - Ndagani 17
Natakanikujue, nikufahamu
bwana,
Nafsi yangu yatamani,
Nataka nikujue.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 18
(Solo) Mimi nataka Natakanikujue,
(Solo) Nikufahamu bwana Nikufahamu bwana, (Solo) Nafsi yangu
Nafsi yangu yatamani,
Nataka nikujue.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 19
1)
Kama vile mwenye jaa
Atafutavyo shibe,
Nafsi yangu yatamani,
Nataka nikujue.*2
03/04/2011
JKMC - Ndagani 20
(Solo) Mimi nataka Natakanikujue,
(Solo) Nikufahamu bwana Nikufahamu bwana, (Solo) Nafsi yangu
Nafsi yangu yatamani,
Nataka nikujue.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 21
2)
Kama vile mwenye kiu,
Atafutavyo maji,
Nafsi yangu yatamani,
Nataka nikujue.*2
03/04/2011
JKMC - Ndagani 22
(Solo) Mimi nataka Natakanikujue,
(Solo) Nikufahamu bwana Nikufahamu bwana, (Solo) Nafsi yangu
Nafsi yangu yatamani,
Nataka nikujue.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 23
3)
Kama vile mama tasa,
Atafutavyo mwana,
Nafsi yangu yatamani,
Nataka nikujue.*2
03/04/2011
JKMC - Ndagani 24
(Solo) Mimi nataka Natakanikujue,
(Solo) Nikufahamu bwana Nikufahamu bwana, (Solo) Nafsi yangu
Nafsi yangu yatamani,
Nataka nikujue.!End!
03/04/2011
JKMC - Ndagani 25
Presentation
03/04/2011
JKMC - Ndagani 26
Holy Hands of Jesus!
03/04/2011
JKMC - Ndagani 27
Holy Hands of Jesus!I never knew how far in sins I wondered,I never knew how tight was Satan's bound,Until I heard the message of salvation,And felt the touch of Him with Holy hands *2
(Chorus) Holy hands, the Holy hands of Jesus,Holy hands, with scars of Calvary,Holy hands, outstretched with grace and pardon,Holy hands, one day they lifted me.
03/04/2011
JKMC - Ndagani 28
2)Forever now his Holy hands shall guide me,Safe and secure my needs he understands,No harm shall come my life is in his keeping,Some day & soon I will see his Holy hands *2
(Chorus) Holy hands, the Holy hands of Jesus,Holy hands, with scars of Calvary,Holy hands, outstretched with grace and pardon,Holy hands, one day they lifted me.
!..End..!03/04/2011
Recommended